Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Sijawahi kumkubali MangePole sana kama ulishakuwa mhanga wa Mange, Binafsi nilishamzarau sana baada ya kupost taarifa ya uongo ambayo na mimi nilikua sehemu ya tukio na kuweka maneno ya kichochezi na ya uongo kinyume na uhalisia, ni Mdada wa kuokoteza vitaarifa vya hapa na pale na kujazia uongo