Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Katika vitu ambavyo Mange Kimambi anavijutia ni suala la kumdhalilisha Hamisa na mama yake.
Tangu awadhalilishe Hamisa na mamaye, wafuasi wa Mange taratibu wameanza kum unfollow Mange Kimambi sambamba na kumdis kila kukicha.
Miongoni mwa wafuasi wakubwa wa Mange ni pamoja na mwanadada Carymastory, tangu Mange amdhalilishe Hamisa, mapenzi ya Cary kwa Mange yameporomoka kwa kiasi kikubwa sana na ametokea kumchukia mnooo.
Mange kawa mnyonge sana na amepoteza ile tension aliyopewa na watu, kila kukicha amekuwa ni mtu wa kum DM Hamisa amsamehe ili ile udada wao urudi kama zamani.
Sent using Jamii Forums mobile app