hallooo...
How are u?
tupo si wajua mambo ya mawe sijui majiwe lazima ujipange....Kwema mkuu, mmeadimika sana
Ilikuwa ni combination ya watu wachache, hapa jukwaani!! Waliokuwa na nguvu kubwa ya Ushauri.
Mkuu Tized
Mkuu Mr Rocky
Mkuu OLESAIDIMU
Mkuu Ntuzu
Mkuu Mndengereko n.k
Mko wapi Team Marafiki?
Salamu zangu za dhati kabisa zikufikie popote ulipo. Umemissika mnoooNakusalimu sana mkuu, na team nzima ya marafiki
Salamu zangu za pili ziwafikie Karucee, Ablessed ,snowhite ,@FP, Heaven on Earth Heaven Sent BAK popote walipo
Salamu za tatu ziwafikie kila atayesoma hapa.
Nakushukuru sana Mwana -SALAMU TAMTAM 🙂
Tized,
Kwa hisani ya awamu ya Tano.
Nakusalimu sana mkuu, na team nzima ya marafiki
Salamu zangu za pili ziwafikie Karucee, Ablessed ,snowhite ,@FP, Heaven on Earth Heaven Sent BAK popote walipo
Salamu za tatu ziwafikie kila atayesoma hapa.
Nakushukuru sana Mwana -SALAMU TAMTAM 🙂
Tized,
Kwa hisani ya awamu ya Tano.
Ilikuwa ni combination ya watu wachache, hapa jukwaani!! Waliokuwa na nguvu kubwa ya Ushauri.
Mkuu Tized
Mkuu Mr Rocky
Mkuu OLESAIDIMU
Mkuu Ntuzu
Mkuu Mndengereko n.k
Mko wapi Team Marafiki?
Atakuja usijaliMlete tafadhali
Abee...sijaelewa rafikiNaomba nikodoe macho kwa mara ya pili..
Rafiki yangu sijamuona mda sana, then unasema yupo karibu yako jamani!!Abee...sijaelewa rafiki
[emoji3][emoji3][emoji3] ndio uje umuoneRafiki yangu sijamuona mda sana, then unasema yupo karibu yako jamani!!