Team Mbowe na wana CHADEMA sikilizeni ujumbe huu

Wwe mtu amekaa miaka 20 ni alafi tu wa madaraka
Kwann

Asubiri mpaka kudhalilishwa kama hivi! akiingia tena mbowe wengi tutakimbia chama hilo akae akijua tutamwachia chama yeye na wajumbe wake tuone watafika wapo!?!? akiwa mshauri tu tutampenda mpaka kufa kwake ila wasasa anataka kuharibu legacy yake!?
 
Bahati mbaya washauri wake akina Ntobi, Bony Yai, nk hawamwambii ukweli wa mambo ulivyo
 
Asubiri mpaka kudhalilishwa kama hivi! akiingia tena mbowe wengi tutakimbia chama hilo akae akijua tutamwachia chama yeye na wajumbe wake tuone watafika wapo!?!? akiwa mshauri tu tutampenda mpaka kufa kwake ila wasasa anataka kuharibu legacy yake!?
Wajumbe ndio waamuzi sisi wengine ni wapiga kelele tu,Mbowe mitano tena
 
Mjinga anasema busara basi kwahiyo mnataka vita mtaviwezaa? Huyo kiongozi anataka mpigwe marisasi mvunjwevunjwe alafu mbaki hamna lolote bali mzigo
 
Wakati huo Lissu yupo zake Ubelgiji
 
Hivi mwisho wa hizi team kwa uhai wa chama ni nini??
 
Back
Top Bottom