Asubiri mpaka kudhalilishwa kama hivi! akiingia tena mbowe wengi tutakimbia chama hilo akae akijua tutamwachia chama yeye na wajumbe wake tuone watafika wapo!?!? akiwa mshauri tu tutampenda mpaka kufa kwake ila wasasa anataka kuharibu legacy yake!?
Hama hata sasa hatuhitaji manafiki.
Au kama nawe ni mwehu kama lisu hatukuhitaji.
Mwenzenu ananyea ndoo tangu jana na dhamana imefungwa chezea serikali ya Mama na mbowe