Pre GE2025 Team Mbowe wajidhatiti kumkwamisha LISSU, wapinga uteuzi wa Wajumbe watano wa kamati kuu aloufanya Lissu, waandika Barua kwa msajili wa Vyama

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Demokrasia ni njia mojawapo inayochangia umaskini huku Africa...

Aliyeleta au kuasisi huu mfumo ametuweza.

Ni mfumo wa kinafki sana...

TAL akiuendekeza kitamramba..
 
Sio kujidhatiti, ni kujizatiti
Mimi nimejizatiti ikatokea huyo tumbotumbo Kalala barabarani eti kisa kuzuia chaguzi nitamtumbua lile tumbo kwa bisibisi
 
Utakua uzushi tu

Demokrasia imetamalaki chakademus namna hakuna zengwe
 
Ndio maana kuna mahali nimeona tanzania inaongoza kwa ujinga africa
 
Huyu Mchaga mwambie hiki ni Kitabu kipya. Akubali tu Mbowe si Mwenyekiti tena.
 
Huyo msajili akijibu hiyo barua ya mchome pia atolee ufafanuzi wa kilichotokea dodoma kupitisha jina moja bila kufuata utaratibu wa chama
 
Nilivyomuelewa Mchome nia yake ni njema kwa kuonyesha dosari hiyo,Ili kukiepusha chama na mapingamizi kupitia msajili wa vyama,endapo kutatokea maamuzi ya kikatiba yatakayofanywa na kamati kuu either miongoni mwa wanachama au Kwa jambo la nje ya chama kama taasisi.
 
Demokrasia ni njia mojawapo inayochangia umaskini huku Africa...

Aliyeleta au kuasisi huu mfumo ametuweza.

Ni mfumo wa kinafki sana...

TAL akiuendekeza kitamramba..
You are spot on. Magufuli was absolute right.
 
Ninafurahi sana nikisikia CHADEMA wanavurugana. Waendelee hivyohivyo
 

Webmaster wafute hawa wote wanaweka uongo kwenye JF
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…