Pre GE2025 Team Mbowe wajidhatiti kumkwamisha LISSU, wapinga uteuzi wa Wajumbe watano wa kamati kuu aloufanya Lissu, waandika Barua kwa msajili wa Vyama

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hapa lazima tupeleke kesi mahakamani kuwazuia wasifanye shughuli yoyote ya chama
 
Demokrasia ni njia mojawapo inayochangia umaskini huku Africa...

Aliyeleta au kuasisi huu mfumo ametuweza.

Ni mfumo wa kinafki sana...

TAL akiuendekeza kitamramba..
Kwa hiyo unataka tufute na neno "Demokrasia" kwenye jina la chama chetu?
 
Katiba ya Chadema inasemaje kwa wale wanaovunja Sheria, kanuni na katiba ya Chama hicho?
 
Mama Abduli yuko kazini na hela zake chafu.
Kama
Chama kisima kinayumbishwa na mtu mmoja then hakuna chama hapo

Nilitegemea chama kikuu dha upinzani kuwa stable kuliko chama cha ubwabwa cha mzee SPUNDA
 
Mwaka huu mtavaa boxer vichwani na vyupi kwenye mabega.
Teh Teh ulivyo mpumbavu sasa hiyo boxer kichwani naivaa mimi au nyie pamoja na Slaa anakonyea ndoo? Hivi wewe nahuo ualimu wako utalala barabarani kuzuia uchaguzi??

Lissu na lile tumbo lake atafanya nini? You could be very sick 😂😂😂😂😂
 

Ni haki yake ya Kikatiba.
 

Sasa hii ndio kumkwamisha? Maelezo meeeeeengi but substance kikombe cha gahawa!
 
🚮🚮🚮🐕
 
Inamaana team mbowe hawaamini kama wameshindwa,na Lisu ni mwenyekiti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…