Pre GE2025 Team Mbowe wajidhatiti kumkwamisha LISSU, wapinga uteuzi wa Wajumbe watano wa kamati kuu aloufanya Lissu, waandika Barua kwa msajili wa Vyama

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kama utaratibu ulikosewa basi kosa lirekebishwe. Hakuna kuendesha chama kimazoea hapa.
Chama sio serikali au shirika tambua hilo….. uchaguzi unakuja acheni utoto tafuteni relevance kwa jamii ya Tanzania sio kuendekeza matumbo na maneno maneno
 
Uchaguzi uliisha muda na hakuna wa kutengua matokeo
 
No reforms No Erection

CHADEMA tupo Imara na hayo mnayoyaona na kusikia ndio Democracy.
 
Kama kweli akidi haikutimia ni haikutumia tu. acheni kusingizia mbowe.
 
Hoja ya kipumbavu kabisa.
 
Mbowe anahusikaje hapo? Barua aandike.Mchome halafu Mbowe ahusike
Mtoa mada alisema lissu kaongopewa na watu wa social media na maria spesi agombee, hivyo hatashinda. Ndo maama nauliza mbowe vp
 
Magenge ya Mbowe wafurushwe CDM haraka ili wakaimbe nyimbo za kusifu juhudi za Mama Samia huko CCM.
 
Ofisi ya msajili wa Vyma vya siasa ,imesema barua ya malalamiko kubusu uteuzi wa viongozi watendaji wa juu na wajumbe wa kamati kuu ya CDM iliyowasilishwa katika ofisi na kama wa chama hicho,imewafikia.
Ikumbukwe kwamba aliewasilisha barua ni CHAWA wa mzee Mbowe ambae anaitwa MCHOME.
 
Lipumba et al🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…