Pre GE2025 Team Mbowe wajidhatiti kumkwamisha LISSU, wapinga uteuzi wa Wajumbe watano wa kamati kuu aloufanya Lissu, waandika Barua kwa msajili wa Vyama

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hawa wamesema kuwa taratibu hazikufuatwa. Badala ya kuwakomalia, CDM itoe ushahidi kuwa ulifuatwa. Hata kama haukufuatwa, wanaweza kuurudia tena lakini safari hii wahakikishe kuwa hizo dosari hazipo. Naamini hata ukirudiwa matokeo yatakuwa ni yale yale. Inatakiwa tujifunze kukubali criticism badala ya kukimbilia kutafuta mchawi.

Amandla...
 
Ungekuwa ccm kesho tu huwiiiii. Ila chadema wameshajua unatumika watakushughulikia.
Wafuasi wa Mbowe tulieni.
 
Your browser is not able to display this video.


Wakuu unaweza kusikia maneno yanayotoka kwenye kinywa cha Mnyika akidi haikutimia.
Chadema badala ya kumfukiza Mchome au kujificha kwenye kichaka kuwa katumwa na Abdul. Tungejibu hoja zake na kufanya utaratibu unavyotaka ikiwemo kurudia uchaguzi wa hao wajumbe.

Ili sio jambo la kufanya mgombane ni kweli hamkufata utaratibu hivyo rekebisheni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…