Kuuliza si ujinga.Hivi hizi team ukijiunga unalipwa?mfano nikawa team kiba au zari au mond au sepenga kuna malipo?Kama yapo niunganisheni na kama hakuna endeleeni na huo umaandazi wenu.Magu kasema asiyefanya kazi na asile.

Hili jukwaa umefikaje?Team fulani maana yake ni fans wake!Well its not a bid deal na kuwa fan haina maana haufanyi kazi!!!!
Pambana na hali yako ndugu!