Team Mobeto wajibu mapigo!

Team Mobeto wajibu mapigo!

Imagine hawa ni wanawake wanakaa kbs kuanza kumdhalilisha mwanamke mwenzao kiasi hiki.

Hivi wanafikir wanamkomoa zari? Ukweli zari is far more better kuliko jumla ya hiyo team yote. And hapo wanazidi kuwapa wanaume fimbo ya kutugonga vichwan

Sent using Jamii Forums mobile app
ni kweli kabisa yupo mbali maana mwanamke kujidai umeolewa huku ukiendelea kuuza vitu vyako kama gari ili umuhonge mwanaume akupende uonekane kwe font ford ni upumbavu wa hali ya juu.

Siku moja atarudi kwa mnigeria
 
Kwa hiyo Hamisa ni mwanaume alivyotukanwa bitch ,yeye hajadharirishwa?
Hamisa kaanza kujidhalilisha mwenyewe kwa kukubariki kuvua nguo kwa mtu ambaye tayari ana mtu.

Alipomvulia diamond kufanya hivyo ili nini? Je alibakwa? Ama alikua anamlipia kisasi bwanake àliye mwaga na kuanza kutoka na Lizbeth? Alijua mwisho wake ni nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hamisa kaanza kujidhalilisha mwenyewe kwa kukubariki kuvua nguo kwa mtu ambaye tayari ana mtu.

Alipomvulia diamond kufanya hivyo ili nini? Je alibakwa? Ama alikua anamlipia kisasi bwanake àliye mwaga na kuanza kutoka na Lizbeth? Alijua mwisho wake ni nini?

Sent using Jamii Forums mobile app

Hamisa alimvulia nguo mhuni tu kama wahuni wengine maana Diamond ni mali ya umma na si mume wa mtu
 
Imagine hawa ni wanawake wanakaa kbs kuanza kumdhalilisha mwanamke mwenzao kiasi hiki.

Hivi wanafikir wanamkomoa zari? Ukweli zari is far more better kuliko jumla ya hiyo team yote. And hapo wanazidi kuwapa wanaume fimbo ya kutugonga vichwan

Sent using Jamii Forums mobile app
Maisha magumu acha watu wajifariji mkuu japo kwa matusi maana mkuu wa nchi mwenyewe ndio kaanzisha kutukana mawaziri wake acha na wao watukane anayekatisha anga zao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hamisa bana mama abdul hana makelele na mtu bora uwe na mke mwenza mwenye maneno maneno kuliko ambaye hakujibu siku akiamua kukujibu utajuta
 
Ni baada ya matusi ya Mond kwenda kwa Mobeto akimuita bitch!Naona vijana wakaingia mzigoni kufukua makaburi na hatimaye wakaja na kitu kujibu mapigo ya kauli chafu ya Mondi!
Wao wakaamua kurusha kombora moja kwa moja kwa bibie Zari ambaye ndio anasadikika ameandika maneno hayo kwani hata slang ni ya kwake na si mondi!
Kuna video inasambaa ikimuonesha Zari akijipa raha mwenyewe kwa kutumia dildo(sex toy) huku akielekezwa na mwanaume namna ya kufanya!Ni kama walikuwa skype chat,halafu jamaa linamwambia Zari ajitie hilo dude kunako!
Inasemekana hao ni team Mobeto wana strike back kwa kutukaniwa dada yao!

Mondi ukiishi nyumba ya vioo,usianzishe vita ya mawe!
IG with JF fullest collabo

thA God thA bubbs!!
 
Imagine some women devoted there time and energy wakiyafuta ukombozi wa mwanamke agu Leo hao hao ambao Bado hata hawajakomboka wanaanza kutukanana na kudhalilishana mitandaoni.

Unafkir ukombozi utafika? Mama mongella Pole sana kwa kweli hukustahili kulipwa haya na sisi wanawake

Sent using Jamii Forums mobile app
nimekupenda bure dada
 
Back
Top Bottom