luckyline
JF-Expert Member
- Aug 29, 2014
- 15,160
- 21,676
ni kweli kabisa yupo mbali maana mwanamke kujidai umeolewa huku ukiendelea kuuza vitu vyako kama gari ili umuhonge mwanaume akupende uonekane kwe font ford ni upumbavu wa hali ya juu.Imagine hawa ni wanawake wanakaa kbs kuanza kumdhalilisha mwanamke mwenzao kiasi hiki.
Hivi wanafikir wanamkomoa zari? Ukweli zari is far more better kuliko jumla ya hiyo team yote. And hapo wanazidi kuwapa wanaume fimbo ya kutugonga vichwan
Sent using Jamii Forums mobile app
Siku moja atarudi kwa mnigeria