Team Mond Huu ni muda wa kujiandaa na safar ya S.A

MimiJoel

Member
Joined
Sep 22, 2017
Posts
42
Reaction score
46
Nakumbuka kwenye Interview aliyofanya Diamond Platnumz kupitia Leo tena ya Clouds Fm.. alisema kuwa endapo Zari atagoma kumuelewa na kumsamehe yupo tayr kutembea kwa magoti kutoka Hapa mpka South Africa.

Kwa sasa Hali ya Mapenzi kati ya diamond na aliyekuwa mpenz wake, mzazi mwenzie Zarina Hassan Sio shwari.. Baada ya Zari kuamua kufuta picha zote za diamond katika ukurasa wake wa Instagram na kubadilisha majina katika account za watoto wake aliozaa na Diamond platnumz..

Licha ya hivyo, hata siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa mzazi mwenzio Diamond Platnumz Tar 2/10, Hakuweza hata kupost chochote wala kumtakia heri katika siku hiyo..

Pia Diamond anashow Uganda, na Tangazo la awali lilikuwa linaonesha kesho tar 5/10, Diamond pamoja na mpenz wake zari watakuwa pamoja huko nchini uganda na kufanya press conference.. Lakin mapema leo taarifa ya uwepo wa Zari imekanushwa na yeye mwenyewe Zarithebosslady kupitia ukurasa wake wa instagram, baada ya kucomment kwenye page ya waandaji wa show hiyo.

huu ni muda mzuri wa Diamond Platnumz na Team yake nzima kuanza safari ya kuelekea South Africa kwa mzazi mwenzie Zari kama Alivyoahidi katika Interview ile..
 
Ngoja wenye team yao waje
 
Mim sio shabiki wa muziki wa bongo na wala simshabikii msanii yeyote hapa bongo labda kidogo Vanessa Mdee. Lakini naona huyu Mr. Diamond tatizo lake bado hajaachana na mambo ya kiswahili, aache kuhangaika na hawa bitches wasiojitambua maana wana njaa kali sana tu ndo zinawasumbua na hawana msaada wowote kwake in the longterm zaidi ya kupanuliwa mapaja na sijui kama ameshafikiri kwamba how can these bitches support to push his music career further. If I'm not mistaken maybe ndo kama wanavyosema mama yake na sister ake ndo wanainfluence mahusiano? If so, basi wamekutana wote with same brain. Mimi labda Nimshauri bwama Diamond Platinum abadilike awe Mwanaume sasa na sio mtoto wa kiume. otherwise, if he persists in his folly there must be a very serious problem somewhere in his family. Anabugi sana kumdistract mtoto mzuri ZariTheBossLady.
 
Labda wataenda kwa
Kwa kutambaa na maneno
 
Tumeshamchoka huyo aende zake tu.

Kwa taarifa za kunyapia nyapia Diamond anamuwinda Tonto Dikeh ale kitumbua chake.
 
Yan diamond saiv kama hizi habari za kuchovya chovya ni kweli Itakua karogwa huko chini.
 
Let's life continue Diamond asituzalilishe wanaume kama yule jamaa wa Mawinguni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…