MimiJoel
Member
- Sep 22, 2017
- 42
- 46
Nakumbuka kwenye Interview aliyofanya Diamond Platnumz kupitia Leo tena ya Clouds Fm.. alisema kuwa endapo Zari atagoma kumuelewa na kumsamehe yupo tayr kutembea kwa magoti kutoka Hapa mpka South Africa.
Kwa sasa Hali ya Mapenzi kati ya diamond na aliyekuwa mpenz wake, mzazi mwenzie Zarina Hassan Sio shwari.. Baada ya Zari kuamua kufuta picha zote za diamond katika ukurasa wake wa Instagram na kubadilisha majina katika account za watoto wake aliozaa na Diamond platnumz..
Licha ya hivyo, hata siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa mzazi mwenzio Diamond Platnumz Tar 2/10, Hakuweza hata kupost chochote wala kumtakia heri katika siku hiyo..
Pia Diamond anashow Uganda, na Tangazo la awali lilikuwa linaonesha kesho tar 5/10, Diamond pamoja na mpenz wake zari watakuwa pamoja huko nchini uganda na kufanya press conference.. Lakin mapema leo taarifa ya uwepo wa Zari imekanushwa na yeye mwenyewe Zarithebosslady kupitia ukurasa wake wa instagram, baada ya kucomment kwenye page ya waandaji wa show hiyo.
huu ni muda mzuri wa Diamond Platnumz na Team yake nzima kuanza safari ya kuelekea South Africa kwa mzazi mwenzie Zari kama Alivyoahidi katika Interview ile..