Team Mond Huu ni muda wa kujiandaa na safar ya S.A

Madale ni guest house ahah,,alidhania kumzalia mwanaume haraka haraka ndio kupendwa au kuolewa[emoji23]
Anaowaita vinuka mkojo ndio daimond anawapenda
Ndio kakua nao hao,mtu hawezi acha asili yake,hao wanuka mikojo ndio wamemkuza domo huko tandale,pia hawa wanuka mikojo wa tandale and co ni wazuri sana kunako sita kwa sita,kama hujawajaribu nenda kajaribu ulete mrejesho hapa,ni gusa unate
 
Yan diamond saiv kama hizi habari za kuchovya chovya ni kweli Itakua karogwa huko chini.
hana kurogwa..ushamba unamsumbua.. kwanza unaingizaje kila demu chumbani/nyumbani kwako na una watoto??? mxiuuuuu!!!
 
akin mapema leo taarifa ya uwepo wa Zari imekanushwa na yeye mwenyewe Zarithebosslady kupitia ukurasa wake wa instagram

Jifunzeni kutofautisha kati ya Twitter na Instagram.. yaani alitweet hayo na wadau wakairusha Instagram.
 
MAANA YA PERSONAL COMMITMENT UNAJUA! WASWAHILI KWA UMBEA.KWAHIYO AACHE BIASHARA ZAKE ILI TU KUSEMA WASWAHILI HAWATANIELEWA
 
Ndio kakua nao hao,mtu hawezi acha asili yake,hao wanuka mikojo ndio wamemkuza domo huko tandale,pia hawa wanuka mikojo wa tandale and co ni wazuri sana kunako sita kwa sita,kama hujawajaribu nenda kajaribu ulete mrejesho hapa,ni gusa unate

kama aliliona hilo alimtongozea nini zari... akaenda nae kavukavu na matokeo watoto... fanya upumbavu kama huna watoto... kama hakunata kwa zari kwanini kachochovya sasa amechonga mizinga miwili!!!
 
Wapo huku waungane kwa pamoja kutembea kwa magoti hadi south africa kuomba msamaha.
 
Madale ni guest house ahah,,alidhania kumzalia mwanaume haraka haraka ndio kupendwa au kuolewa[emoji23]
Anaowaita vinuka mkojo ndio daimond anawapenda
Aliwaita vinuka mkojo ndo huyo huyo nasibu hao hao ndo anawafuata ...
mwanamke ni upstairs, kama kichwani hamna kitu basi tena ...unashindana na zari wapi na wapi bwana ...nyie mnapost mko vitandani na baba wa watoto wake yeye anapost gari ya bentley ya dola za kimarekani laki moja na themanini..mnakazania kupewa laki 5 kwa wiki ya matunzo ya mtoto
 
Sioo uswahili tu na ushamba anao sana huyo dogo,ila nina uhakika he will be a looser.
 
Wewe ndo unajifanya mjuaji bitches utakuwa ni wewe maana malaya lazima aliwe na malaya mwenzake
 
Madale ni guest house ahah,,alidhania kumzalia mwanaume haraka haraka ndio kupendwa au kuolewa[emoji23]
Anaowaita vinuka mkojo ndio daimond anawapenda
Snapchat alishasema kwamba madale haendi hata magoti[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
KWELI JAMAAA NAYE NMEONA ANAPENDA WANAWAKE WEPESI MNOOO BITCHES ...

MWANAMKE ANAJIELEWA KAMA ZAR ALAFU KANARUKA RUKA KANGESE SANA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…