Team Mond Huu ni muda wa kujiandaa na safar ya S.A

Team Mond Huu ni muda wa kujiandaa na safar ya S.A

Sasa hasira za nini wakati zari naye alimsaliti mumuwe tena hadi kuzaa kabisa, lakini jamaa wala hakuonyesha hasira yoyote mitandaoni , sasa si alijifanya mjanja kumsaliti mwenzake na yeye amesalitiwa atulie tu
 
Kukosa hekima,ufahamu & akili hata kama una miliki dunia nzima itakuathiri maisha yako yote!
 
5524b9632b04e5f312db9e4f545d2eff.jpg
naona kasahau hii. Ila Zari hawezi achana na Mondi kisa kazaa na mobeto. Mbona yeye alikutwa na watoto shazi
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji1]
 
Hiyo ni kazi ndogo kwa Fela,nadhani ataingia mzigoni soon
 
Back
Top Bottom