MKIBAIGWAsharkss
JF-Expert Member
- May 25, 2017
- 572
- 1,331
Ndugu zangu team Subaru naomba mnikaribishe nimehama kutoka Toyota na kuingia Subaru.
Nimeagiza Subaru Forester ya 2011 katikati ya mwezi wa tisa inafika.
Naombeni vitu vya kuzingatia kwa ubora na uimara wa gari yangu