Baada ya Heche kuongea duru zinaonyesha hawa watu walijiandaa muda mrefu kimya kimya bila Team Mwenyekiti kung'amua. Sasa imepelekea Mwenyekiti na Team yake wapagawe.
Mwenyekiti amepagawa hana tena utulivu. Waandamizi wa Team yake jamii iliyokuwa inawapa nguvu imewakacha, wameamua kaa kimya, Sugu yupo Kimya baada ya wana-Mbeya kumjia juu huko insta na twitter, Boniyai aliyeanza provocation siku Lissu anatia nia amekuwa kimya ghafla, Yericko ameenda jidhalilisha kwenye mdahalo, the list is long.
Kete pekee iliyobaki kwa team Mwenyekiti ni 250mil anazosema atatoa kwa maandalizi ya mkutano mkuu. Sijui atatumia njia gani ila wajumbe wa Chadema ni watu wanaojielewa, wanaweza kula ela yake then kura akala Lissu.
All in all, endapo Mwenyekiti akishindwa, basi tegemea mpambano mkubwa sana kufuata baada ya uchaguzi. There will never be a smooth transition.