Team yangu Man U ni mkosi, nuksi, laana, gundu, mapepo au majini?

kama shabiki kindaki ndaki siridhishwi kabisa na matokeo ya mechi 2 za Man U zilizopita..
Team inaonekana kucheza ,wachezaji wanajituma kweli kweli lkn nahs kuna sehem katika upangaji team kocha anakosea sana..
Team ina dominate mpira lakini kufunga hakuna,Hakuna striker force ,tunategemea winga Daniel James ,viungo wanaenda mbele hawarudi kukaba.
Usajili wa mwaka huu umekosa striker anaesimama, sina mashaka na Bissaka ,Daniel James na Maguire, ila wachezaji waliokutwa na akina Bissaka sioni wakijituma Rashford amekua nyoka wa kabisa,ana meno lakini hang'ati.

Club ubingwa ulaya hatupo au tumeshajipanga kila mwaka kucheza Europa ...nani ameturoga ...?
Mchawi Mourinho.
 
Wanajiita mashetani wekundu, nadhani yamewapanda ila yakitulia wataanza kushinda.
 
"jua maisha ni mlima eeh!! Maisha ni mlima
Kuna kupanda na kushuka eeh!! Kupanda na kushuka
Bali kuteleza sio kuanguka eeh!! Mtoto wa mama"

Nahisi Manchester haitelezi inaporomoka, toka milima ya uporoto.[emoji23][emoji1787][emoji1787]
Bus hiyo milima ni mikali sana ...
 
kama shabiki kindaki ndaki siridhishwi kabisa na matokeo ya mechi 2 za Man U zilizopita..
Team inaonekana kucheza ,wachezaji wanajituma kweli kweli lkn nahs kuna sehem katika upangaji team kocha anakosea sana..
Team ina dominate mpira lakini kufunga hakuna,Hakuna striker force ,tunategemea winga Daniel James ,viungo wanaenda mbele hawarudi kukaba.
Usajili wa mwaka huu umekosa striker anaesimama, sina mashaka na Bissaka ,Daniel James na Maguire, ila wachezaji waliokutwa na akina Bissaka sioni wakijituma Rashford amekua nyoka wa kabisa,ana meno lakini hang'ati.

Club ubingwa ulaya hatupo au tumeshajipanga kila mwaka kucheza Europa ...nani ameturoga ...?
Avumiliwe kocha mmoja anayeaminika kwa muda mrefu full stop.Mambo ya kubadilibadili makocha ni kuwachanganya wachezaji mara mshambuliaji mara mpaki bus
 
Na hii ndo dawa lakini uvumlv wa team kutofanya unaumiza pale ambapo kocha hajasajili mtu mhimu ,hakuna striker wa maana, unauza striker ambaye anasimama unaacha ndondocha kama Rashford
 
Wachezaji wa man u hawana moyo wa upambanaj mech inayofuata baada ya kupisha kalenda ya FIFA sare nyngne inawahusu
 
Back
Top Bottom