Team yangu Man U ni mkosi, nuksi, laana, gundu, mapepo au majini?

Mchawi Mourinho.
 
Wanajiita mashetani wekundu, nadhani yamewapanda ila yakitulia wataanza kushinda.
 
"jua maisha ni mlima eeh!! Maisha ni mlima
Kuna kupanda na kushuka eeh!! Kupanda na kushuka
Bali kuteleza sio kuanguka eeh!! Mtoto wa mama"

Nahisi Manchester haitelezi inaporomoka, toka milima ya uporoto.[emoji23][emoji1787][emoji1787]
Bus hiyo milima ni mikali sana ...
 
Avumiliwe kocha mmoja anayeaminika kwa muda mrefu full stop.Mambo ya kubadilibadili makocha ni kuwachanganya wachezaji mara mshambuliaji mara mpaki bus
 
Avumiliwe kocha mmoja anayeaminika kwa muda mrefu full stop.Mambo ya kubadilibadili makocha ni kuwachanganya wachezaji mara mshambuliaji mara mpaki bus
Na hii ndo dawa lakini uvumlv wa team kutofanya unaumiza pale ambapo kocha hajasajili mtu mhimu ,hakuna striker wa maana, unauza striker ambaye anasimama unaacha ndondocha kama Rashford
 
Wachezaji wa man u hawana moyo wa upambanaj mech inayofuata baada ya kupisha kalenda ya FIFA sare nyngne inawahusu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…