Team zetu za mpira..

Team zetu za mpira..

Rebeca 83

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2016
Posts
15,136
Reaction score
32,268
Hello wapendwa.

Sijui km hii kitu ipo?

Nilikua napendekeza kila timu iwe na fans club,ili kujiongezea kipato......

Nimeona teams zikiuza,T-shirt,mashuka, saa hadi mugs na sahani..zenye nembo ya team....ZIKIUZWA.

Hii itasupport, wachezaji wetu,kwa mambo mbalimbali,,,, wakicheza mpira kwa sasa na baadae wakistaafu!

Hii pia itawapa motisha watu wenye vipaji kujitokeza, kuliko Sasa hivi, sababu wengi maslahi ya wachezaji hayako certain.... Ndio maana watu wengine wenye vipaji huwa hawajitokezi.....
 
Back
Top Bottom