Jitu jeusi
JF-Expert Member
- Oct 18, 2015
- 1,715
- 2,385
Wewe n muArgentina
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
inabidi wabadilike na waungane kiukweli wasiwe na tegemeo kwa mchezaji mmoja tu
Hahaha kweli kabisa mkuu tuombe uzimaKabisa Mkuu tuombe Mungu. Tuyashuhudie mashindano hayo maana hawa wasiojulikana wako busy na SMG zao.
Wewe n muArgentina
CR7 ni mchezaji bora duniani kwa kuwa Messi anatoka sayari nyingineMnashabikia kufuzu? Nilifikiri kachukua kombe kama yule mwingine yaan CR7
Ni ubatili mtupu na kujilisha upepo.CR7 ni mchezaji bora duniani kwa kuwa Messi anatoka sayari nyingine