Teamo, Chrispin na Kaizer NDANI YA TBC1

Utashtakiwa kamanda. Haya maneno yanaweza kutufanya tumkose komenteta kaizer....
 
okay okay wana jf!
nilikuwa na mjadala mzito na TIDO MHANDO kuhusu hii programme!sasa tumemalizana na mambo yatakwenda sawia
 
okay okay wana jf!
nilikuwa na mjadala mzito na TIDO MHANDO kuhusu hii programme!sasa tumemalizana na mambo yatakwenda sawia
Isije ikawa ushachukua mshiko. Nachelea isije ikatokea badala ya kuchambua soka tukachapana makonde!
 
hahahaha!bigirita unaongea utadhhani ndo wewe ulikuwa unatutreini kwenye liheso!LOL
 
Utashtakiwa kamanda. Haya maneno yanaweza kutufanya tumkose komenteta kaizer....
Mumbebee mdudu au hata mkia, huwa akawii kusikia njaa na kiu!! wapiga peano unawajua wewe!! kama wapuliza tarumbeta vile!!
 
ha ha ha ha hivo mbona haonekani huyu mwanadamu ametangaza nia??
Tangu alipofumaniwa, waifu kampa ban la kutotoka chumbani. Leo atatoka kwa muda baada ya maombi maalum toka kwa Tido.
 
Mumbebee mdudu au hata mkia, huwa akawii kusikia njaa na kiu!! wapiga peano unawajua wewe!! kama wapuliza tarumbeta vile!!
Dah! Ni heri asikie njaa kuliko kiu. Namjua hommie wangu yule LOL!!
 
Isije ikawa ushachukua mshiko. Nachelea isije ikatokea badala ya kuchambua soka tukachapana makonde!
Kama mnakamata mshiko mbona hatujaalikana?? mi nilifikiria ni mnaenda kuuza sura bure?!
 
Mumbebee mdudu au hata mkia, huwa akawii kusikia njaa na kiu!! wapiga peano unawajua wewe!! kama wapuliza tarumbeta vile!!
hahahahah!
mbavu za mimi lol
 
Kama mnakamata mshiko mbona hatujaalikana?? mi nilifikiria ni mnaenda kuuza sura bure?!
Nadhani hujajua mimi na kaizer ni kabila gani. Usiulize na Teamo kakamatia wapi jiko.... Haya piga hapo moja jumlisha moja kwa kirumi....
 
Mi ntatinga na bukta. Hii miguu ya kichaga wala hainisumbui ninapokuwa kwenye profesheni yangu:hail:
hehehehe!hapa napo pamenimaliza!nimepasevu kumuflash nikamuonyeshe waifu vituko vya kakaake
 
hehehehe!hapa napo pamenimaliza!nimepasevu kumuflash nikamuonyeshe waifu vituko vya kakaake
Hahahaha! Acha hizo.

hebu nikumbushe, leo tunaenda kujadili mechi ipi? Nataka nianze kuperuziperuzi hapa. Kama ni japani vs korea itakuwa balaa, yale majina ukichanganya na valuu hatuchelewi kusema matusi lol
 
Kama mnakamata mshiko mbona hatujaalikana?? mi nilifikiria ni mnaenda kuuza sura bure?!
hehehehe!mpwa nilikuja marangu jana na komenteta zuma lakini hukuwepo
 
Naombeni Wapwa hawa warekodiwe na video iwekwe hapa JF. Ikibidi muwe na vitshirt vya JF ndani ili mara moja moja mnajifanya joto na kufungua vifungo vya shati kuonyesha JF (jokking).
Wengine tunaoshi madongo kwinama huku Sikonge, itabidi tusimuliwe tu.
Sasa kwa nini msipate Mbenge kwanza? Si ndiyo yenyewe hiyo? Muingie na Libohora (Kirisipini wa jengo refu, nimepatia?)
 
Hapo sina mashaka, mabubuzela yatakuwepo ya kutosha.........
hapa naona umepiga ki-kwetu!UKIMAANISHA VUVUZELA!hahahahaha
SHAAAMEESHAAAA MEKUUUU!
namatioooooooooooooooooooo!
ULIMSIMAAAAA?
 
Hahahaha! Mate umenikumbusha kwa anti na kwa mama seberee. Unakula mbege kadhaa kwa mama seberee then unakuja kamata harufu ya bia kwa kabia kamoja kwa anti. Kama siku hiyo mnacheza na mabinti wa kibosho girls shughuli inakuwa ya kuelewa.

Tukirudi kwenye topic Mbege + Vuvuzela + Wapwaz + Mila + Infidelity = World Cup in the land of Africa!
 
Hahahaha! Acha hizo.

hebu nikumbushe, leo tunaenda kujadili mechi ipi? Nataka nianze kuperuziperuzi hapa. Kama ni japani vs korea itakuwa balaa, yale majina ukichanganya na valuu hatuchelewi kusema matusi lol
wewe usiwe na wasi wasi.......kama anaitwa inamoto we sema yabaridi tafadhali, na glass kubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…