Usisahau nina chupa kadhaa za whisky kwa ajila ya kupunguza makali va bubuzelaunajua wewe umeniangusha sana!
baada ya vinywaji vingi tumeingia studio kuchambua soka wewe ukajua tumeenda home...
sasa watu wamekunukuu kule
Hivi kale ka Preta ka kwenye Shades Of Sin si ni ka-Brazil? Kama kuna mtu ana kontakti yake anitumie tafadhali. Kibarua cha kuusaka uraia wa Brazil kwa kufuata kanuni kimekuwa kigumu (nataka nitumie oltenativu way ya ki-mila)LOJISTIKS ZA INFIDELITY... (Umeshapata Uraia wa Brazil?)
nilikuwa ubaozi wa brazil thirty minutes ago kukamilisha application za uraia!INFIDELITY AT ITS BEST
LONG LIVE WELDI KAPU
LONG LIVE FIFA
Hivi kale ka Preta ka kwenye Shades Of Sin si ni ka-Brazil? Kama kuna mtu ana kontakti yake anitumie tafadhali. Kibarua cha kuusaka uraia wa Brazil kwa kufuata kanuni kimekuwa kigumu (nataka nitumie oltenativu way ya ki-mila)
Askofu....................