Panga Jipya
Member
- Sep 11, 2019
- 5
- 2
Jamani au mm ndo sjui hivi nn maana ya FIFA Best men player of the year na umesema apewe nn????au huelewi uwe unauliza unasaidiwaMm sijasema balon yako hiyo mbona unadandia gari kwa mbele wakati hujui linapoelekea
Hawajui mkuu wanna kurupukaTeam Ronaldo mnatabu sana [emoji23][emoji23] timu yenyewe Lithuania...na ukifuatilia vizuri timu alizokutananazo utacheka..while Leo10 amekutana na matim makubwa tena yakiwa katika ubora wao na akawanyanyasa, sasa nyie Lithuania tu mpaka mwanzishe thread [emoji23][emoji23][emoji23] mmeishiwa kwakweli
Goals by opponent
Teams Goals PARAGUAY 5 VENEZUELA 4 URUGUAY 4 ECUADOR 4 BRAZIL 4 SWITZERLAND 3 PANAMA 3 NIGERIA 3 HAITI 3 GUATEMALA 3 COLOMBIA 3 CHILE 3 BOLIVIA 3 SPAIN 2 NICARAGUA 2 MEXICO 2 HONG KONG 2 CROATIA 2 ALGERIA 2 UNITED STATES 1 SLOVENIA 1 SERBIA 1 PORTUGAL 1 PERU 1 MEXICO 1 IRAN 1 GERMANY 1 FRANCE 1 BOSNIA 1 ALBANIA 1
Mbona hatukuanzisha mada [emoji115]
Nyie viumbe mnateseka sana mpaka nawahurumia, ila mnajuwa kabisa Messi ndie mchezaji bora kuwahi kutokea basi mnajitoa ufahamu tu [emoji2][emoji2][emoji2]
FactUreno itatwaa world cup 2022,
Finali itakuwa Portugal vs Netherlands.
Usimfananishe Cr 7 mnyama na vitu vya ajabu ajabu1-3 ni Ronaldo afu vichezaji vingine ndo vinafuata.Team Ronaldo mnatabu sana [emoji23][emoji23] timu yenyewe Lithuania...na ukifuatilia vizuri timu alizokutananazo utacheka..while Leo10 amekutana na matim makubwa tena yakiwa katika ubora wao na akawanyanyasa, sasa nyie Lithuania tu mpaka mwanzishe thread [emoji23][emoji23][emoji23] mmeishiwa kwakweli
Goals by opponent
Teams Goals PARAGUAY 5 VENEZUELA 4 URUGUAY 4 ECUADOR 4 BRAZIL 4 SWITZERLAND 3 PANAMA 3 NIGERIA 3 HAITI 3 GUATEMALA 3 COLOMBIA 3 CHILE 3 BOLIVIA 3 SPAIN 2 NICARAGUA 2 MEXICO 2 HONG KONG 2 CROATIA 2 ALGERIA 2 UNITED STATES 1 SLOVENIA 1 SERBIA 1 PORTUGAL 1 PERU 1 MEXICO 1 IRAN 1 GERMANY 1 FRANCE 1 BOSNIA 1 ALBANIA 1
Mbona hatukuanzisha mada [emoji115]
Nyie viumbe mnateseka sana mpaka nawahurumia, ila mnajuwa kabisa Messi ndie mchezaji bora kuwahi kutokea basi mnajitoa ufahamu tu [emoji2][emoji2][emoji2]
Jamani au mm ndo sjui hivi nn maana ya FIFA Best men player of the year na umesema apewe nn????au huelewi uwe unauliza unasaidiwa
Ahaaaaaaaaaah unajitekenya afu unajicheka mwenyewe,yaaani unatoa kigezo cha games nyingi kwa Cr7 mnyama eti ndio udhaifu wake ahaaaaah upimwe mkojo,FACT ni kwamba kipindi Cr7 mnyama yupo anacheza mechi nyingi ndicho kipindi ambacho messi alikuwa anasotea kupata nafasi ko automatic Cr7 mnyama kumzidi messi mechi na magoli huo ndio UBORA WA RONALDO AGAINST ANDUNJE.ko na mchezaji kucheza mechi nyingi in kipimo cha ubora wake maana yake ni kwamba kama Ronaldo angekuwa sio bora automatic messi angekuwa amecheza mechi nyingi kumzidi so imekuwa vice versa kwa andunje maana alikuwaga hana namba mbele ya GAUCHO ebooooooh GO AND SLEEEEEEEEEEEEEEEEEEEP.Striker utaachaje kuwa na magoli mengi kwa mfano? Wakati yeye anasubiri kutengewa mwenzie Messi anakusanya kijiji then anascore...kitu kingine nikukumbushe tu mkuu..Ronaldo amemtangulia Messi game 153 lakini kwenye magoli hawakutofautiana sana [emoji2] [emoji2] [emoji2] je Messi angemtangulia angelikuwa na magoli mangapi mpaka sasa!!! Kuweni wakweli bwana hata kama ni chuki sio hivyo tena.
View attachment 1204583View attachment 1204584View attachment 1204585
eti na Lithuania ??