#TeamRonaldo tunakikao hapa kifupi

#TeamRonaldo tunakikao hapa kifupi

Unaambiwa mashabiki wa messi wanajitamba messi kuchukua ballon mara 4 mfululizo wanasahau kusema messi alipigwa pause then makonde mpaka kufikiwa na hatutoi pause[emoji23][emoji23]
 
Mm sijasema balon yako hiyo mbona unadandia gari kwa mbele wakati hujui linapoelekea
Jamani au mm ndo sjui hivi nn maana ya FIFA Best men player of the year na umesema apewe nn????au huelewi uwe unauliza unasaidiwa
 
Team Ronaldo mnatabu sana [emoji23][emoji23] timu yenyewe Lithuania...na ukifuatilia vizuri timu alizokutananazo utacheka..while Leo10 amekutana na matim makubwa tena yakiwa katika ubora wao na akawanyanyasa, sasa nyie Lithuania tu mpaka mwanzishe thread [emoji23][emoji23][emoji23] mmeishiwa kwakweli

Goals by opponent
TeamsGoals
PARAGUAY5
VENEZUELA4
URUGUAY4
ECUADOR4
BRAZIL4
SWITZERLAND3
PANAMA3
NIGERIA3
HAITI3
GUATEMALA3
COLOMBIA3
CHILE3
BOLIVIA3
SPAIN2
NICARAGUA2
MEXICO2
HONG KONG2
CROATIA2
ALGERIA2
UNITED STATES1
SLOVENIA1
SERBIA1
PORTUGAL1
PERU1
MEXICO1
IRAN1
GERMANY1
FRANCE1
BOSNIA1
ALBANIA1

Mbona hatukuanzisha mada [emoji115]

Nyie viumbe mnateseka sana mpaka nawahurumia, ila mnajuwa kabisa Messi ndie mchezaji bora kuwahi kutokea basi mnajitoa ufahamu tu [emoji2][emoji2][emoji2]
Hawajui mkuu wanna kurupuka
 
Team Ronaldo mnatabu sana [emoji23][emoji23] timu yenyewe Lithuania...na ukifuatilia vizuri timu alizokutananazo utacheka..while Leo10 amekutana na matim makubwa tena yakiwa katika ubora wao na akawanyanyasa, sasa nyie Lithuania tu mpaka mwanzishe thread [emoji23][emoji23][emoji23] mmeishiwa kwakweli

Goals by opponent
TeamsGoals
PARAGUAY5
VENEZUELA4
URUGUAY4
ECUADOR4
BRAZIL4
SWITZERLAND3
PANAMA3
NIGERIA3
HAITI3
GUATEMALA3
COLOMBIA3
CHILE3
BOLIVIA3
SPAIN2
NICARAGUA2
MEXICO2
HONG KONG2
CROATIA2
ALGERIA2
UNITED STATES1
SLOVENIA1
SERBIA1
PORTUGAL1
PERU1
MEXICO1
IRAN1
GERMANY1
FRANCE1
BOSNIA1
ALBANIA1

Mbona hatukuanzisha mada [emoji115]

Nyie viumbe mnateseka sana mpaka nawahurumia, ila mnajuwa kabisa Messi ndie mchezaji bora kuwahi kutokea basi mnajitoa ufahamu tu [emoji2][emoji2][emoji2]
Usimfananishe Cr 7 mnyama na vitu vya ajabu ajabu1-3 ni Ronaldo afu vichezaji vingine ndo vinafuata.
 
Ww ndo huelewi mkuu nenda google kaangalie tofauti ya tuzo za FIFA na hiyo ya BALLON DIOR
Jamani au mm ndo sjui hivi nn maana ya FIFA Best men player of the year na umesema apewe nn????au huelewi uwe unauliza unasaidiwa
 
Striker utaachaje kuwa na magoli mengi kwa mfano? Wakati yeye anasubiri kutengewa mwenzie Messi anakusanya kijiji then anascore...kitu kingine nikukumbushe tu mkuu..Ronaldo amemtangulia Messi game 153 lakini kwenye magoli hawakutofautiana sana [emoji2] [emoji2] [emoji2] je Messi angemtangulia angelikuwa na magoli mangapi mpaka sasa!!! Kuweni wakweli bwana hata kama ni chuki sio hivyo tena.


View attachment 1204583View attachment 1204584View attachment 1204585
Ahaaaaaaaaaah unajitekenya afu unajicheka mwenyewe,yaaani unatoa kigezo cha games nyingi kwa Cr7 mnyama eti ndio udhaifu wake ahaaaaah upimwe mkojo,FACT ni kwamba kipindi Cr7 mnyama yupo anacheza mechi nyingi ndicho kipindi ambacho messi alikuwa anasotea kupata nafasi ko automatic Cr7 mnyama kumzidi messi mechi na magoli huo ndio UBORA WA RONALDO AGAINST ANDUNJE.ko na mchezaji kucheza mechi nyingi in kipimo cha ubora wake maana yake ni kwamba kama Ronaldo angekuwa sio bora automatic messi angekuwa amecheza mechi nyingi kumzidi so imekuwa vice versa kwa andunje maana alikuwaga hana namba mbele ya GAUCHO ebooooooh GO AND SLEEEEEEEEEEEEEEEEEEEP.

VIVA 6 BALLON D'OR,VIVA CR7 MNYAMA A.K.A RONALDO THE KING OF FOOTBALL EVER IN THE WORLD CREATION UNTIL THE END.
 
TOFAUTI YA Ballon d'Or na Fifa Men's player award na uanzilishi wake soma hapa chini!!

Ballon d'Or ilianzishwa na shirika La michezo huko ufaransa lililoitwa French Publication France Football mwaka 1956 na Sir Stanley Matthew.

Ballon d'Or ilikuwa inajulikana kama European Football of the year award na walikuwa wanapewa hii tuzo ni wachezaji wa kutoka mataifa ya ulaya tu.

Mwaka 1991 shirika la michezo la Dunia FIFA walianzisha na wenyewe tuzo yao iliyokuwa inaitwa World player of the year na hii ilimuwezesha mchezaji yeyote kutoka mataifa nje ya ulaya kushinda.

Mpaka kufika mwaka 2009 hizi tuzo mbili zilikuwa zinajitegemea yaani ballon d' Or ( European player of the year ) na World player of the year.

Mwaka 2010 haya mashirika yaliungana na kufanya tuzo moja ambayo ilijulikana kama Fifa Ballon d'Or na hapo kukawa na mchezaji mmoja tu kwa mwaka ambaye alikuwa anatambulika kama bora kuliko wengine kulingana na vigezo vyao.

Mwaka 2016 rais wa Fifa, Gianni Infantino alivunja huo muungano na kurudi kama awali na inasemekana alifanya hivi ili kuimairisha uhusiano na chama cha soka cha uingereza cha FA kwa kufanya hizi shereheheehhe za kukabidhiwa tuzo zifanyike London wakati awali zilikuwa zinafanyika Zurich.

Unatakiwa kufahamu kuwa mshindi wa ballon d'Or huwa anachaguliwa kwa kupigiwa kura na jopo LA waandishi wa habari walioteuliwa wakati Mshindi wa Fifa Men's player of the year huwa 50% za kura zinatoka kwa makapteni na makocha wa team za kitaifa Duniani zinazotambuliwa na FIFA, na 50% ya kura zingine zinatokana na kura za waandishi wa habari wawakilishi kutoka katika media zaidi ya 200 duniani......

Pia utambue kuwa washindi wa Ballon d'Or na Fifa men's player of the year wanaweza wakatofauti au akachukua zote mchezaji mmoja.. Mfano mwaka 2004 mchezaji wa Ac Milan Andry shevchenko alichukua Ballon d'Or huku Fifa Men's player of the year akachukua Ronaldinho wakati huo anachezea Fc Barcelona.

Kama kuna seehhemu nimedanganya unaweza kusahihisha maana nimetoa google!!! Ila nimefanya kubadilisha lugha tu
 
Back
Top Bottom