TEASER: Kama wewe ni mwenyeji Dar, hapa nipo juu ya orofa ya ghorofa gani

Thread closed
Wrong, ukiangalia picha ya kwanza Amani place imeonekana kwa nyuma pembeni kidogo, which ziko same line na golden jubilee,

Picha ya pili inaonyesha wing c ya golden jubilee, from that we conclude ni Exim tower.

Na picha zinazofuata ndo kabisa zinaonyesha jengo la posta na Jubilee tower yenyewe wing b na c.
 
Daah, kweli mkuu, upo sahihi, nakiona kijiwe pale miaka ile wale jamaa wa pasipoti mbele ya mambo ya ndani.
 
Gorofa la kulia ni Ramada encore...
Mbele ni golden jubilee upande wa parking..
Naiona embassy hotel..
Naliona jengo la posta..
Naziona parking za wizara ya mambo ya ndani.
Exim tower for sure.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wazee wa posta
Picha ya kwanza Nilitaka kuropoka Level 8 hyatt ila hapafananii kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…