TEASER: Kama wewe ni mwenyeji Dar, hapa nipo juu ya orofa ya ghorofa gani

TEASER: Kama wewe ni mwenyeji Dar, hapa nipo juu ya orofa ya ghorofa gani

Wrong, ukiangalia picha ya kwanza Amani place imeonekana kwa nyuma pembeni kidogo, which ziko same line na golden jubilee,

Picha ya pili inaonyesha wing c ya golden jubilee, from that we conclude ni Exim tower.

Na picha zinazofuata ndo kabisa zinaonyesha jengo la posta na Jubilee tower yenyewe wing b na c.
Safi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu unakula maisha kwenye rooftops..
Nikiwa na pesa ndio yatakuwa mambo yangu na mamaaa
 
Mimi mwenyeji dar mkuu lakini kuanzia kekomachungwa,keko mwanga,keko tolori,magurumbasi,mbgala,mbande,chamazi na kisemvule.
Keko machungwa mitaa yangu (dealers pub)

WANA JAMII FORUMS, TUSIFANYE MAKOSA TENA OCT 2020
 
Back
Top Bottom