Tonny Miles Franklin
Member
- Aug 28, 2017
- 72
- 97
Kupiga picha juu ya ghorofa = kuyapatia maisha ?umeyapatia maisha sio
SafiWrong, ukiangalia picha ya kwanza Amani place imeonekana kwa nyuma pembeni kidogo, which ziko same line na golden jubilee,
Picha ya pili inaonyesha wing c ya golden jubilee, from that we conclude ni Exim tower.
Na picha zinazofuata ndo kabisa zinaonyesha jengo la posta na Jubilee tower yenyewe wing b na c.
Exim Tower piga na upande wa North West tuone!Ona picha kisha sema ghorofa ya jengo gani nilipochukulia hizi picha.View attachment 1412671View attachment 1412673View attachment 1412674View attachment 1412676
Sent using Jamii Forums mobile app
Keko machungwa mitaa yangu (dealers pub)Mimi mwenyeji dar mkuu lakini kuanzia kekomachungwa,keko mwanga,keko tolori,magurumbasi,mbgala,mbande,chamazi na kisemvule.