The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,186
- 4,940
Hana lolote huyoMhe. Mpango naona ana take note kwa u-serious sana
Ametumia lugha rahisi na sauti isiyotetereka.
Jioni nitarudia kuangalia mahubiri hayo kupitia tumaini tvMhe. Mpango naona ana take note kwa u-serious sana
Chawa huwa akili zilishaoza na ndiyo sababu ya uchawa waoSema heshima ya katolic sio Taifa, katolic washapuuzwa tangu kwenye matamko ya bandari. Ile kauli ya kua “usicheze na kanisa katolic “ ni uongo, they are just regular guys with average mind, including kitima himself.
Kwa upande Taifa ilianza pale Tundu lisu alipotaka kuuwawa na serikali ya magufuli haikuonesha kujali,
Ben saanene
Azori kwanda n.k
Wakatoliki, the world is not revolving around you.
Hawa ccm wameona wamepoteza ushawishi kwa Uma sasa wanataka walete udini ili wapate pakushikia. Nawaomba waislam wasikubali kuchezeshwa goma ya ccm. Ccm wanatumia genge Lao wanalo ita Bakwata kujifanya kuwa bakwata inawakilisha waislam . Ukweli bakwata ni tawi la ccm. Kwa waziristo ccm inamakanisa mengi kama sana .ndio maana inajaribu kushambulia makanisa amboyo yako kitaasisi kama catholic, Lutheran, Anglican .Makamu wa Rais Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania TEC Askofu Eusebius Nzigilwa akizungumzia tukio la kushambuliwa kwa katibu wa baraza hili Padre Charles Kitima amesema wanatafakari na kujiuliza ni ni hasa kinachoshambuliwa kwa tukio kama lile.
"Anashambuliwa mtu,, inashambuliwa taasisi, au taifa?"
Ameyasema hayo leo Mei 04, 2025 katika Misa Takatifu iliyoadhimishwa na Askofu Mkuu Jude Thaddaeus Ruwa`ichi OFMCap katika Viwanja vya Shule ya Marian ikiwa ni kusimikwa kwa askofu Stephano Musomba - jimbo katoliki Bagamoyo.
Pia soma
- News Alert: - Padri Kitima ashambuliwa na watu wasiojulikana. Inadaiwa hali yake ni mbaya
- Polisi: Tunamshikilia Mtu mmoja kutokana na tukio la Padri Kitima kushambuliwa
View attachment 3324353
Akili kubwa sanaSema heshima ya katolic sio Taifa, katolic washapuuzwa tangu kwenye matamko ya bandari. Ile kauli ya kua “usicheze na kanisa katolic “ ni uongo, they are just regular guys with average mind, including kitima himself.
Kwa upande Taifa ilianza pale Tundu lisu alipotaka kuuwawa na serikali ya magufuli haikuonesha kujali,
Ben saanene
Azori kwanda n.k
Wakatoliki, the world is not revolving around you.