mgt software
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 13,778
- 7,145
Wana JF,
Nimeona sehemu wakuu wa vitengo kidini wakijitetea kupunguziwa kodi wakijinasibu kuwa wanasaidia sana kwenye sekta ya elimu, kumbe ndio wanyonyaji wakubwa.
Kwa sasa shule za Romani na KKKT ni ghali mno. Kuna shule zilianzishwa kama za kusomesha watoto yatima lakini zimekuwa zikipandisha ada sana kiasi kwamba wengi wameacha shule njiani. Bado shule hizi ukishapitia huko Serikali haikupi mkopo kwa kuwa umepitia Sts eti hapo unajiweza sana.
Mlianza kwa kusaidia kwa sasa ni biashara kabisa.
Askofu Pengo aliwahai kuambiwa shule zake kutosaidia wakati hata wanapata misaada huko nje.
Pia soma
- Rais Samia: Taasisi za Dini zinazotoa huduma ya Afya na Elimu baadhi zinatozwa kodi kwa sababu zinafanya biashara