Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 2,268
- 7,119
Yawe maandamo ya Amani na siku hiyo ifanyike ibada kubwa .Tena kubwa kabisa.
Baada ya maandamano mfanye ibada kubwa . Maandamano haya yawe Tanzania nzima.
Muwakumbuke wote bila kubagua dini. Mumkumbe Mzee Ali Kibao na wenzake wote ambao baada ya kutekwa na kuuliwa ilitoka kauli kuwa kifo ni kifo tu hata Mungu bado anataka anakuhitaji kuishi.
Yaani hata kwamba ukiuliwa na Wauaji ambao wao kuua ni kama kunywa maji ya kisimani hicho ni kifo tu.
Naomba maadamano haya yafanyike kabla ya mwaka huu.