TEC: Shambulio dhidi ya padre Kitima lilitaka kupora haki ya uhai, uhuru wa kusema na kutenda kadiri ya wito wake

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,186
Reaction score
4,940
Makamu wa Rais Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania TEC Askofu Eusebius Nzigilwa akizungumzia tukio la kushambuliwa kwa katibu wa baraza hilo Padre Charles Kitima amesema Shambulio hilo lilitaka kupora haki ya uhai, uhuru wa haki yake ya kusema na kutenda kadiri ya wito wake aliojaaliwa na Mwenyezi Mungu huku akiongeza kuwa ni shambulio dhidi ya heshima ya taifa kwani linajulikana kuwa kisiwa cha amani.

Ameyasema hayo leo Mei 04, 2025 katika Misa Takatifu iliyoadhimishwa na Askofu Mkuu Jude Thaddaeus Ruwa`ichi OFMCap katika Viwanja vya Shule ya Marian ikiwa ni kusimikwa kwa askofu Stephano Musomba - jimbo katoliki Bagamoyo.

Pia soma
  1. News Alert: - Padri Kitima ashambuliwa na watu wasiojulikana. Inadaiwa hali yake ni mbaya
  2. Polisi: Tunamshikilia Mtu mmoja kutokana na tukio la Padri Kitima kushambuliwa
 
Amina
Eeh Mwenyezi Mungu tuondolee huyu Mama kama ulivyofanya kwa mtangliz wake kwani ndiye anayezuru watu kwenye hili Taifa
 
Makamu wa Rais Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania TEC Askofu Eusebius Nzigilwa akizungumzia tukio la kushambuliwa kwa katibu wa baraza hilo Padre Charles Kitima amesema Shambulio hilo lilitaka kupora haki ya uhai, uhuru wa haki yake ya kusema na kutenda kadiri ya wito wake aliojaaliwa na Mwenyezi Mungu huku akiongeza kuwa ni shambulio dhidi ya heshima ya taifa kwani linajulikana kuwa kisiwa cha amani.

Ameyasema hayo leo Mei 04, 2025 katika Misa Takatifu iliyoadhimishwa na Askofu Mkuu Jude Thaddaeus Ruwa`ichi OFMCap katika Viwanja vya Shule ya Marian ikiwa ni kusimikwa kwa askofu Stephano Musomba - jimbo katoliki Bagamoyo.

Pia soma
  1. News Alert: - Padri Kitima ashambuliwa na watu wasiojulikana. Inadaiwa hali yake ni mbaya
  2. Polisi: Tunamshikilia Mtu mmoja kutokana na tukio la Padri Kitima kushambuliwa
View attachment 3324358

Madhila yote haya yanafanyika ni kwa sababu waTanzania wameikataa CCM 'na mambo yake yote.'

CCM imepoteza kabisa mvuto!
CCM imepoteza kabisa ushawishi!
 
Makamu wa Rais Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania TEC Askofu Eusebius Nzigilwa akizungumzia tukio la kushambuliwa kwa katibu wa baraza hilo Padre Charles Kitima amesema Shambulio hilo lilitaka kupora haki ya uhai, uhuru wa haki yake ya kusema na kutenda kadiri ya wito wake aliojaaliwa na Mwenyezi Mungu huku akiongeza kuwa ni shambulio dhidi ya heshima ya taifa kwani linajulikana kuwa kisiwa cha amani.

Ameyasema hayo leo Mei 04, 2025 katika Misa Takatifu iliyoadhimishwa na Askofu Mkuu Jude Thaddaeus Ruwa`ichi OFMCap katika Viwanja vya Shule ya Marian ikiwa ni kusimikwa kwa askofu Stephano Musomba - jimbo katoliki Bagamoyo.

Pia soma
  1. News Alert: - Padri Kitima ashambuliwa na watu wasiojulikana. Inadaiwa hali yake ni mbaya
  2. Polisi: Tunamshikilia Mtu mmoja kutokana na tukio la Padri Kitima kushambuliwa
View attachment 3324358
Na siku hzi mkwe wa kifua kipana haudhurii hizi sherehe, sio kama haakikwi ana gubu moyoni.
Ila ingekuwa matukio ya kina malasusa machawa wake angekuwa front .
 
Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) limesema kuwa shambulio la Katibu Mkuu wake, Padri Charles Kitima, si la kawaida kwani linagusa utu wa mtu, heshima ya taasisi na sifa ya Taifa.

Padri Kitima alivamiwa na kushambuliwa Aprili 30, 2025 katika makao makuu ya baraza hilo, Kurasini jijini Dar es Salaam.

Kauli hiyo imetolewa leo, Jumapili Mei 4, 2025 na Makamu wa Rais wa TEC, Askofu Eusebius Nzigilwa, katika hafla ya kumsimika Askofu Stephano Musomba kuwa kiongozi wa kwanza wa Jimbo Katoliki la Bagamoyo, ambapo mgeni rasmi alikuwa Makamu wa Rais Dk Philip Mpango.

"Tukio hilo si la kawaida. Linagusa utu wa mtu, heshima ya taasisi na sifa ya Taifa letu. Huu haukuwa wizi wa mali, bali ni jaribio la kupoka uhai, uhuru na haki ya kuishi kwa dhamiri na imani," amesema Askofu Nzigilwa huku akitoa wito kwa vyombo vya dola kushughulikia tukio hilo kwa uzito.
 
Na 20m za mama hawakuacha,siku ile walikula ubwabwa wake
 
View attachment 3324463
Kimya
 
Makamu wa Rais Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania TEC Askofu Eusebius Nzigilwa akizungumzia tukio la kushambuliwa kwa katibu wa baraza hilo Padre Charles Kitima amesema Shambulio hilo lilitaka kupora haki ya uhai, uhuru wa haki yake ya kusema na kutenda kadiri ya wito wake aliojaaliwa na Mwenyezi Mungu huku akiongeza kuwa ni shambulio dhidi ya heshima ya taifa kwani linajulikana kuwa kisiwa cha amani.

Ameyasema hayo leo Mei 04, 2025 katika Misa Takatifu iliyoadhimishwa na Askofu Mkuu Jude Thaddaeus Ruwa`ichi OFMCap katika Viwanja vya Shule ya Marian ikiwa ni kusimikwa kwa askofu Stephano Musomba - jimbo katoliki Bagamoyo.

Pia soma
  1. News Alert: - Padri Kitima ashambuliwa na watu wasiojulikana. Inadaiwa hali yake ni mbaya
  2. Polisi: Tunamshikilia Mtu mmoja kutokana na tukio la Padri Kitima kushambuliwa
View attachment 3324358
Hakika
 
Waliilenga Speaker kanisa zima likatulia kimyaa.

Kitima angekuwa hajapigwa angeongea sana.

Lakini waliobaki waoga. Hata waraka hawatatoa mwaka huu.
 
Labda lilipora, hatuambiwi ana hali gani?

Usishangae serikali ikajitolea kulipia gharama za matibabu.

Maana ndio zao, wana uma na kupuliza.
 
Back
Top Bottom