TEC wanatoa Tamko moja. Wananyamaza. Sisi tunatoa mia moja hawajibu hata moja. Ni Dharau

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
14,762
Reaction score
32,386
Inatia hasira. TEC wanadharau sana. Serikali iangalie jambo hili kwa ukaribu sana. Hawa TEC wakitoa tamko kisha wakaja jibiwa wala hawahangaiki kufafanua au kujibishana.

Hiyo ni dharau na kiburi kuonesha wao hawajibishani na vilaza au wasiojielewa. Hili jambo linanikwaza. Serikali imejaribu kutumia watu na taasisi mbalimbali bila mafanikio. TEC wamenyamaza tu hawa watu. Ni kiburi na jeuri na kujiona wao wasomi hawawezi jibishana na maubwabwa.

Serikali iwalazimishe wawe nao wanashiriki kwenye mijadala na pia na wengine wawe wanatoa matamko na TEC wajibu. Wasiwe wananyamaza tu.
 
TEC wana dharau sana😂😂😂
 
Dah 😀😀😀Maubwabwa wanajizalilisha aisee akili kubwa sio ya kukimbilia kujibu wanajidhalilisha na hapo ni baraza la maaskofu ila wao idara zao zote mpaka hata waislam wanashangaa kumbe kuna taasisi hii wametoa matamko ila yote fucken
 
Inatia hasira. TEC wanadharau sana. Serikali iangalie jambo hili kwa ukaribu sana. Hawa TEC wakitoa tamko kisha wakaja jibiwa wala hawahangaiki kufafanua au kujibishana.

Hiyo ni dharau na kiburi kuonesha wao hawajibishani na vilaza au wasiojielewa. Hili jambo linanikwaza. Serikali imejaribu kutumia watu na taasisi mbalimbali bila mafanikio. TEC wamenyamaza tu hawa watu. Ni kiburi na jeuri na kujiona wao wasomi hawawezi jibishana na maubwabwa.

Serikali iwalazimishe wawe nao wanashiriki kwenye mijadala na pia na wengine wawe wanatoa matamko na TEC wajibu. Wasiwe wananyamaza tu.
Da nimecheka sauti
 
Ukijibizaana na mjinga inakuwa vigumu kwa msikilizaji kujua mjinga ni nani!
 
Wasomi wale..... wakishakupa fact wanaendelea na program zingine . Wanawaacha MAPUNGA ZEZE , MATAKO WAZI , POPOBAWA NA CHUPI ZA VIRAKA kujadili .
 
Back
Top Bottom