TEC waomba taasisi za kidini kufutiwa madeni yote

TEC waomba taasisi za kidini kufutiwa madeni yote

Shujaa Mwendazake

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
4,016
Reaction score
6,759
Baraza la Maaskofu wa kanisa katoliki #Tanzania #TEC limeomba Serikali kuziondolea madeni ya nyuma inayozidai Taasisi zote dini nchini ili kuongeza ufanisi katika kutoa huduma za kijamii.
 
Kwani hizi Taasisi si zina misamaha kwenye mambo lukuki ?, Si vitu vingi hawalipi ? Hayo Madeni yamesababishwa na nini kama hata vile wanavyolipa pia vimepunguzwa tu the minimum ?

Yaaani vikipunguzwa zaidi kidogo tu utakuta kwamba jamii ndio inawalipa...

Pia hizo huduma ambazo hapo kale walikuwa wanatoa kama msaada sasa hivi ni kulipia... (misaada imepungua)
 
Hawa wanapenda sana huruma huruma,
Hawajui kusamehewa kwao ndio maumivu kwa wananchi,

Dini ni kivuli tuu kwa baadhi ya walafi.
 
Usinikumbushe Askofu Gwajima anatembea Hammer Huku anaomba asamehewe kodi
 
Naunga mkono hoja,mama ni msikivu asamehe madeni yote ya taasisi za dini.
 
Yule Alikua wanakutana naye Kila j2 mbona hawakuwahi kumuomba awasamehe,ingawa maaskof kidogo mlikuwa mnajitahidi kukemea hila huku kwetu kuna mtu alimfananisha kiongozi eti ni zaidi ya mungu
 
Shame on them, huduma zao za afya na elimu ni ghali mno kwa wananchi na waumini wao.Walipe tu hilo deni
 
Huduma zao gharama za kutisha halafu wanaomba msamaha wa kodi.
 
Back
Top Bottom