Baraza la Maaskofu wa kanisa katoliki #Tanzania#TEC limeomba Serikali kuziondolea madeni ya nyuma inayozidai Taasisi zote dini nchini ili kuongeza ufanisi katika kutoa huduma za kijamii.
Ili iweje?
Je ni deni halali?
Kama ni deni halali na wamekubali wanadaiwa basi walipe.
Hawa watu wa dini si wa kucheka nao, wanavyotukamua michango kumbe wanakopa tena.
Kwani hizi Taasisi si zina misamaha kwenye mambo lukuki ?, Si vitu vingi hawalipi ? Hayo Madeni yamesababishwa na nini kama hata vile wanavyolipa pia vimepunguzwa tu the minimum ?
Yaaani vikipunguzwa zaidi kidogo tu utakuta kwamba jamii ndio inawalipa...
Pia hizo huduma ambazo hapo kale walikuwa wanatoa kama msaada sasa hivi ni kulipia... (misaada imepungua)
Baraza la Maaskofu wa kanisa katoliki #Tanzania#TEC limeomba Serikali kuziondolea madeni ya nyuma inayozidai Taasisi zote dini nchini ili kuongeza ufanisi katika kutoa huduma za kijamii.
Yule Alikua wanakutana naye Kila j2 mbona hawakuwahi kumuomba awasamehe,ingawa maaskof kidogo mlikuwa mnajitahidi kukemea hila huku kwetu kuna mtu alimfananisha kiongozi eti ni zaidi ya mungu