johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Nimeona kuanzia Kenya na Tanzania katazo la Kamisa Moja Takatifu la Mitume kuwazuia viongozi wa kisiasa kuhutubia waumini inadani
Katazo hilo kwa Shujaa Magufuli lisingetekelezeka kwa sababu angeomba kupewa kifungu cha Sheria kinachozuia
Ahsanteni sana
Mlale unono š
Katazo hilo kwa Shujaa Magufuli lisingetekelezeka kwa sababu angeomba kupewa kifungu cha Sheria kinachozuia
Ahsanteni sana
Mlale unono š