Tech Security codes

Tech Security codes

Pasta Joshua

Member
Joined
Aug 2, 2020
Posts
14
Reaction score
110
✅35*0000*11# Hii code inazuia simu zote zinazoingia ama zinazopigwa kutokea mtandao wowote, Kutoa Piga #35*0000*11#

✅*33*0000*11# Hii ni code kwaajili ya kuzuia simu kutoka au kupiga, hii nzuri unamsetia mtoto au mdada wa kazi au yoyote anaependa Kuongea na Simu Usiku, Kutoa Piga #33*0000*11#

✅*331*0000# Hii ni kwaajili ya ku block international calls kama umeajiri wageni na hutaki wapige pige simu makwao. Kutoa Piga #331*0000#

✅*35*0000*16# Hii ni kwaajili ya kublock sms zinazotumwa kwenye simu yako zisiingie, Kutoa Piga #35*0000*16#

✅*33*0000*16# Hii ni code kwaajili ya kuzuia text zisitoke. Kutoa Piga #33*0000*16#

✅*21*NambaUnakotakaCallZiende# Hii ni Code ya Kuforward Simu zako Kwenda Katika Namba Nyingine au Mtu mwingine. Kutoa Piga ##21#

✅#21# Piga Hii kama Unataka Kujua kama Namba yako Imeunganishwa Sehemu yoyote na Mtu mwingine.

✅*21*Namba# Weka Code hii Kwenye Simu kama Hutaki Simu yoyote iingie au Usisumbuliwe kabisa, Atakaepiga Ataambiwa Namba Hii Haipo.. Itakusaidia Kujilinda zaidi. Kutoa Piga ##21#
✅✅✅
 
i need a code on how to open money vaults!..😅
 
Kuna jamaa kila ukimpigia simu inasema hauna salio la kupiga simu hii.

Kuna mwingine muda wote hapatikani ila ukikata tu simu anakupigia yeye.

Anaejua aseme kitu.
Nasubiri jibu
 
Ni kweli aloo, mwngne hapatkani kabisaa...mbak akutafute yeye, na simu ipo hewani kabisaa
 
✅35*0000*11# Hii code inazuia simu zote zinazoingia ama zinazopigwa kutokea mtandao wowote, Kutoa Piga #35*0000*11#

✅*33*0000*11# Hii ni code kwaajili ya kuzuia simu kutoka au kupiga, hii nzuri unamsetia mtoto au mdada wa kazi au yoyote anaependa Kuongea na Simu Usiku, Kutoa Piga #33*0000*11#

✅*331*0000# Hii ni kwaajili ya ku block international calls kama umeajiri wageni na hutaki wapige pige simu makwao. Kutoa Piga #331*0000#

✅*35*0000*16# Hii ni kwaajili ya kublock sms zinazotumwa kwenye simu yako zisiingie, Kutoa Piga #35*0000*16#

✅*33*0000*16# Hii ni code kwaajili ya kuzuia text zisitoke. Kutoa Piga #33*0000*16#

✅*21*NambaUnakotakaCallZiende# Hii ni Code ya Kuforward Simu zako Kwenda Katika Namba Nyingine au Mtu mwingine. Kutoa Piga ##21#

✅#21# Piga Hii kama Unataka Kujua kama Namba yako Imeunganishwa Sehemu yoyote na Mtu mwingine.

✅*21*Namba# Weka Code hii Kwenye Simu kama Hutaki Simu yoyote iingie au Usisumbuliwe kabisa, Atakaepiga Ataambiwa Namba Hii Haipo.. Itakusaidia Kujilinda zaidi. Kutoa Piga ##21#
✅✅✅
*43# hii ni code ya call waiting
 
🙌🏻🙌🏻
 
Haya ingizeni hizo kodi halafu mrudi kulialia, kuwa kila ukiingiza muamala unaingia kwa mtu mwingine 😀
 
Asante ndugu.
Tusaidie pia jinsi ya kuwadhibiti na wale wa "iyo hela tuma kwenye namba hii", naona wamerudi kwa kasi ya Kimbunga na sms zao zina kera hasa.
 
Makini

Back
Top Bottom