Tech Security codes

Tech Security codes

✅35*0000*11# Hii code inazuia simu zote zinazoingia ama zinazopigwa kutokea mtandao wowote, Kutoa Piga #35*0000*11#

✅*33*0000*11# Hii ni code kwaajili ya kuzuia simu kutoka au kupiga, hii nzuri unamsetia mtoto au mdada wa kazi au yoyote anaependa Kuongea na Simu Usiku, Kutoa Piga #33*0000*11#

✅*331*0000# Hii ni kwaajili ya ku block international calls kama umeajiri wageni na hutaki wapige pige simu makwao. Kutoa Piga #331*0000#

✅*35*0000*16# Hii ni kwaajili ya kublock sms zinazotumwa kwenye simu yako zisiingie, Kutoa Piga #35*0000*16#

✅*33*0000*16# Hii ni code kwaajili ya kuzuia text zisitoke. Kutoa Piga #33*0000*16#

✅*21*NambaUnakotakaCallZiende# Hii ni Code ya Kuforward Simu zako Kwenda Katika Namba Nyingine au Mtu mwingine. Kutoa Piga ##21#

✅#21# Piga Hii kama Unataka Kujua kama Namba yako Imeunganishwa Sehemu yoyote na Mtu mwingine.

✅*21*Namba# Weka Code hii Kwenye Simu kama Hutaki Simu yoyote iingie au Usisumbuliwe kabisa, Atakaepiga Ataambiwa Namba Hii Haipo.. Itakusaidia Kujilinda zaidi. Kutoa Piga ##21#
✅✅✅
Vipi kama ikiwa ni mdukuo mpya?

Na hitaji code ya jinsi ya kuwa tajiri.
 
Back
Top Bottom