gabylovestech
Member
- Jul 13, 2025
- 20
- 50
Watu wengi wanadhani Productivity ni kuwa na Setup yenye makorokoro mengi
Ni vizuri ila anza kulingana na Budget yako
Picha kwa Hisani ya Pinterest
Mfano: nina 1.5m Naanza na👇🏾
❍ Kiti
→ Budget: 200,000 TZS Facebook marketplate na IG vipo kibao Ex-UK
❍ Desk
→ Budget: 150,000 TZS. Chukua design
Pinterest mpe fundi atoe kitu (kama huna upo dar nicheki nikupe Fundi mnoma)
❍ Shelving/Storage
→ Budget: 100,000 TZS (Sio ya Lazima mfano me droo ziko 3 kila upande zinatosha)
❍ Computer/Laptop
→ Budget: 600,000 TZS (Nunua used kwa kuanzia)
❍ Keyboard and Mouse
→ Budget: 50,000 TZS (Hizi nakushauri agiza China mpya Aliexpress bongo ghali)
❍ Notebooks/Planners
→ Budget: 20,000 TZS
❍ Desk Organizer
→ Budget: 30,000 TZS (Sio Lazima ila unaeza pata Home City)
❍ Pens, Pencils, and Highlighters
→ Budget: 10,000 TZS ( Kama sio mtu wa kusoma na kuandika sana achana nazo)
❍ Sticky Notes
→ Budget: 5,000 TZS (Huwa natumia kuandika To-do-list)
❍ Desk Lamp
→ Budget: 30,000 TZS (Sio Lazima)
❍ Mouse Pad with Wrist Support
→ Budget: 15,000 TZS (Sio Lazima)
❍ Footrest
→ Budget: 25,000 TZS (Sio lazima kama hukai ndani sana)
❍ External Hard Drive/Cloud Storage
→ Budget: 100,000 TZS (Muhimu sana agiza China)
VINGINE SIO MUHIMU K.V
❍ Monitor Stand/Riser
→ Budget: 20,000 TZS
❍ Art/Decor
→ Budget: 20,000 TZS
❍ Water Bottle/Coffee Mug
→ Budget: 15,000 TZS
❍ Desktop Timer
→ Budget: 10,000 TZS
❍ Cable Management
→ Budget: 10,000 TZS
❍ Lockable File Cabinet
→ Budget: 50,000 TZS
❍ Noise-Cancelling Headphones
→ Budget: 100,000 TZS
❍ Printer/Scanner
→ Budget: 80,000 TZS
Etc
Vitu vingi hapa Unaweza fatilia kariakoo polepole, ama Nenda Home City au agiza China na mimi nicheki whatsapp: 0️⃣6️⃣9️⃣4️⃣5️⃣7️⃣9️⃣0️⃣0️⃣0️⃣