technical college vs A-level

Mimi nina mdogo wangu kamaliza form 4 miaka mitatu iliyopita phy-c, chem-c, biology-c, maths-d, geo-d, kisw-d, civics-d na eng-f ana division three na anataka kuomba machua age entry ili asome kozi ya civil engeering arusha tech. Tafadhali wana jf naomba ushauli wenu
 
Jaman mm pia nimemaliza kidato cha nne nimepata points sita za PCM na nimechagua technical college lakn bado napata upinzani kutoka kwa ndugu zangu wanataka niende A level

mwaka gani mkuu....
 
Kama utaweza kujilipia ada ya degree baadaye ni sawa manake wengi waliotumia qulification za diploma kwenda vyo vikuu wamekosa mikopo ila mambo yanabadilika.
 

Nipe feedback mkuu,
 
nipo dit,,o level nilipata ABA ya PCM,,na kuna watu waliofaulu mno dit,,njoo dit alafu vipanga utaokutana nao na ushindani uje urudie kuandika tena
 

kama kuna wajinga mia tz bac w unaongoza nan alkwambia dit wanatoka wakiwa weupe? nenda dit kaombe detailz kuhusu wale waliochaguliwa uone kama yupo ambae amechaguliwa akiwa kapata dv 4 ni tatu kuja 1 na awe amefaulu namba na masomo mengne ya sayans na huyo anasema kapata kum na moja bac anaona yy ndo wakwanza n mjinga kwel aende ndo atajua waliopata zaid yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…