technical college vs A-level

technical college vs A-level

Mimi nina mdogo wangu kamaliza form 4 miaka mitatu iliyopita phy-c, chem-c, biology-c, maths-d, geo-d, kisw-d, civics-d na eng-f ana division three na anataka kuomba machua age entry ili asome kozi ya civil engeering arusha tech. Tafadhali wana jf naomba ushauli wenu
 
Jaman mm pia nimemaliza kidato cha nne nimepata points sita za PCM na nimechagua technical college lakn bado napata upinzani kutoka kwa ndugu zangu wanataka niende A level

mwaka gani mkuu....
 
Kama utaweza kujilipia ada ya degree baadaye ni sawa manake wengi waliotumia qulification za diploma kwenda vyo vikuu wamekosa mikopo ila mambo yanabadilika.
 
hello wana jf.
mimi nimemaliza form 4 mwaka jana.
matokeo yangu ni mazuri nna dvn 1.11 na AAA PCM.
nilichagua tech colleg(DIT) first choice.nadhani engineer aliyesoma
diploma halafu BA ni safi zidi ya alietoka A-level halafu akachukua
BA.tatizo watu wengi wananikatisha tamaa na kusema huko colleg si kwa
watu wenye ufaulu kama wangu wanasema huko ni kwa waliofaulu kwa kiwango
kidogo.....yaani wengi wananiona wa ajabu wanasema kupitia huko ni
kujiharibia kwani ajira zinasumbua kwa waliopitia huko.
najisikia vibaya naona kama nibadilishe baada ya matokeo kutoka.sio
kwamba siwezi A-level bali nahisi njia ya ttech colg kwa engineerig ni
nzuri zidi.

kwa hiyo naomba anayefahamu zaigi anielezee hili swala la A level na
tech colg.je mimi nipo sawa au wao wapo sawa

Nipe feedback mkuu,
 
nipo dit,,o level nilipata ABA ya PCM,,na kuna watu waliofaulu mno dit,,njoo dit alafu vipanga utaokutana nao na ushindani uje urudie kuandika tena
 
Kama umemaliza kibaha special xul na umepata A tatu na B nne(wani ya 11) basi utakua kilaza sana,wengine tumepiga Aza boy(One ya 9) tukaenda huko kibaha tukalamba one ya 3,jipange mkuu,achana na tek nenda mzumbe au ilboru ukapige tatu yako chuo ukachukua(UDSM) CIT au Telecomm Eng zen piga GPA yako above 4.5 ubakizwe pale ule maisha,tech hakuna kitu kuanzia DIT,MTC,ATC kote famba elimu rahisi sana na ukija chuo umetoka tek yani unakua mweupe sana! Soma dogo one ya 11 isikuchanganye max ndogo sana hizo!!!

kama kuna wajinga mia tz bac w unaongoza nan alkwambia dit wanatoka wakiwa weupe? nenda dit kaombe detailz kuhusu wale waliochaguliwa uone kama yupo ambae amechaguliwa akiwa kapata dv 4 ni tatu kuja 1 na awe amefaulu namba na masomo mengne ya sayans na huyo anasema kapata kum na moja bac anaona yy ndo wakwanza n mjinga kwel aende ndo atajua waliopata zaid yake
 
Back
Top Bottom