Sina lengo la kumnanga Tundu Lissu, kwa sababu Acacia ilishatoa notisi za usuluhishi nchini TANZANIA kwa niaba ya migodi ya Bulyanhulu na Buzwagi.
Notisi hizo ziliomba mgogoro uliopo kati ya serikali na Acacia kupelekwa kwenye usuluhishi na serikali ya TANZANIA ikatekeleza.
Hata hivyo, taarifa hiyo ya Acacia haikugusia juu ya kiwango cha fidia inachodai kutokana na zuio la makanikia.
Sasa hayo aliyozungumza Tundu Lissu kama Acacia wanaidai serikali shilingi trilioni 4 aliwapatia ushahidi?
Kama huo ushahidi upo mwambieni awaoneshe!