Nchi hii ccm wameifanya shamba la bibi kuvurunda wanavurunda wao lakini mzigo wote wanauangushia kwa wananchi baada ya kudanganywa kwa sentesi ndefu zenye kushusha lawama kwa wasiohusika na wahusika kulindwa kwa nguvu zote.ni kweli kabisa wananchi ndiyo wataisoma hiyo namba!!!!! wao wakiwa wanakula kiyoyozi tu!!!Kulipa watalipa (akina nani?) bila shaka na kwa kutumia pesa zao (au za wananchi?)
Bas sema, tutalipa!Nchi hii ccm wameifanya shamba la bibi kuvurunda wanavurunda wao lakini mzigo wote wanauangushia kwa wananchi baada ya kudanganywa kwa sentesi ndefu zenye kushusha lawama kwa wasiohusika na wahusika kulindwa kwa nguvu zote.ni kweli kabisa wananchi ndiyo wataisoma hiyo namba!!!!! wao wakiwa wanakula kiyoyozi tu!!!
Issue hapa siyo kuwa wanadaiwa kiasi gani issue hapa ni kweli wanadaiwa???na hiyo hakuna haja ya kumwambia Tundu Lissu aonyeshe ni kiasi gani,ni serikali ndiyo inatakiwa kuwaeleza kwa uwazi wananchi wake ambao serikali hii imewaingiza mkenge wa kulipa madeni makubwa.Serikali iache kuchengesha kwa kutupia lawana kwa wanasiasa wakati wananchi wanawasomesha namba za ki-rumi ambazo hawana mpango nazo kabisa!!!!Sina lengo la kumnanga Tundu Lissu, kwa sababu Acacia ilishatoa notisi za usuluhishi nchini TANZANIA kwa niaba ya migodi ya Bulyanhulu na Buzwagi.
Notisi hizo ziliomba mgogoro uliopo kati ya serikali na Acacia kupelekwa kwenye usuluhishi na serikali ya TANZANIA ikatekeleza.
Hata hivyo, taarifa hiyo ya Acacia haikugusia juu ya kiwango cha fidia inachodai kutokana na zuio la makanikia.
Sasa hayo aliyozungumza Tundu Lissu kama Acacia wanaidai serikali shilingi trilioni 4 aliwapatia ushahidi?
Kama huo ushahidi upo mwambieni awaoneshe!
Asipoleta ushahidi ndio tutakuwa hatudaiwi?Sina lengo la kumnanga Tundu Lissu, kwa sababu Acacia ilishatoa notisi za usuluhishi nchini TANZANIA kwa niaba ya migodi ya Bulyanhulu na Buzwagi.
Notisi hizo ziliomba mgogoro uliopo kati ya serikali na Acacia kupelekwa kwenye usuluhishi na serikali ya TANZANIA ikatekeleza.
Hata hivyo, taarifa hiyo ya Acacia haikugusia juu ya kiwango cha fidia inachodai kutokana na zuio la makanikia.
Sasa hayo aliyozungumza Tundu Lissu kama Acacia wanaidai serikali shilingi trilioni 4 aliwapatia ushahidi?
Kama huo ushahidi upo mwambieni awaoneshe!
Kama serikali haiwezi kujibu upotoshwaji basi sisi wananchi tutajua kuwa kwenye mazungumzo hayo Nchi yetu inapumulia mashine na iache kukamata watu ovyo kwa kusema ukweli ulivyo na waache kujikita kudanganya watu kwa kukaa kimya wakitegemea watu watasahau!!! au wakitegemea na hili nalo litapita tu!!!!!Siyo kweli! Acacia bado hawajapeleka hati yoyote ya madai.
Kwani ugumu unatoka wapi? Kwa sababu pamoja na Acacia kuwa na madhaifu yao, bado ni makini sana katika kuhabarisha jamii.
Sasa hizo taarifa za madai wasitoe Acacia, aje kutoa Tundu Lissu kweli? Ebu kuwa serious basi!
Serikali haiwezi kujibu kila aina ya upotoshwaji unaofanywa na wanasiasa.
Acha kutetea siasa za kijinga! Hakuna hati yoyote ya madai inayothibitisha Acacia wanaidai serikali shilingi trilioni 4 kutokana na zuio la makanikia.
Mwambieni awaoneshe hati ya madai!
a.k.a Zamaradi Kawawa!!!!Hapana, mimi ni Masunga Maziku
Haya sawa!
Ila ujue wewe jamaa unanishangaza sana! Sasa huyo Zamaradi anahusika vipi na hiki unachokiandika hapa?
Na mimi namfahamu Masunga Maziku a.k.a Zamaradi Kawawa kama ninavyokufahamu wewe kama Echolima a.k.a Tundu Lissu!Haya sawa!
Japo Kikwete amesema "UPINZANI SIO UADUI" nashindwa kuelewa ni kwa nini maoni mengi yanayokinzana ndani ya JF huwa ni ya kimatusi tusi! Hii ni dhahiri kwamba watanzania, tayari tuna chembe chembe za upinzani wa kiuadui!Ujue kuna watanzania wameshikwa sana na wanasiasa, hata jambo la kupotosha wao wanasapoti tu bila kufikiri kwa makini.
Halafu huyo jamaa hataki kusikia upande mwingine, hadi anadiriki kuniita jina la kike sijui anataka kuhakikisha kuwa mimi ni mwanaume!
Upinzani wa TANZANIA ulishapoteza dira, mpaka leo hawajulikani wanasimamia nini!
Ndiyo akili yako ilipoishia hapo????Its only when a mosquito lands on your testicles, that you realize there is always a way to solve problems without using violence!!!!!!Ujue kuna watanzania wameshikwa sana na wanasiasa, hata jambo la kupotosha wao wanasapoti tu bila kufikiri kwa makini.
Halafu huyo jamaa hataki kusikia upande mwingine, hadi anadiriki kuniita jina la kike sijui anataka kuhakikisha kuwa mimi ni mwanaume!
I feel sorry for you! Don't use this forum to exhibit your malignant ignorance. You don't need to use foul language to make your point, then again little minds usually use obscene language to disguise their stupidity. Sorry again!!
are you still a USED Toilet paper??? please cover your A.......Trying to cover up the facts of the matter and not otherwise!
Ila wewe jamaa bana, unaonekana unapenda sana kutukana mitandaoni!
Pole sana!