Ladha ya JF siku hizi imepotea sana walikuwepo watu hatari sana humu lakini dah siku hizi wengine wanakuja na kubeep wengine hawaonekani kabisa, mfano kuna jamaa alikuwa anajiita HUTAKI UNAACHA na nondo zake, technically, Nicholous na huyu HNIC wanakuja kwa kubeep.. Ben saa 8 ndio hivyo tena