Technically yuko wapi siku hizi

Technically yuko wapi siku hizi

habari ya hapa

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2012
Posts
12,791
Reaction score
8,749
Yupo Kabadili jina? Au wasiojulikana wamesepa nae, maana kuna wakati alianza kuwa maarufu mpaka kwenye magazeti ukiachilia humu JF

Nimeuliza tu maana ni mjamaa mwwnzetu
 
Alimjambisha mh moja siku moja humu ndani

Akaja kujibu hoja

Sijamuona tena na mh siku hizi hatoi michango completely
 
Ladha ya JF siku hizi imepotea sana walikuwepo watu hatari sana humu lakini dah siku hizi wengine wanakuja na kubeep wengine hawaonekani kabisa, mfano kuna jamaa alikuwa anajiita HUTAKI UNAACHA na nondo zake, technically, Nicholous na huyu HNIC wanakuja kwa kubeep.. Ben saa 8 ndio hivyo tena
 
Back
Top Bottom