Technician wa kichina anaunda simu, Msomi wa master's anakuwa winga wa simu hiyo

YASIYOSEMWA

Member
Joined
Jun 1, 2026
Posts
68
Reaction score
149
Nimeona uzinduzi wa logistic hub(ghala la forodha)...Nikawaza Ni mafanikio YA kusherehekea au inabidi tujitafakari kasi yetu YA kugeuza TAIFA letu SOKO Kwa bidhaa ZA nje.

Tukiwa na idadi kubwa YA watu hasa vijana tunahitaji kufikiria kuzalisha ajira na si kuwa SOKO ..
madhara YA SOKO Ni uchafu,makelele na TAIFA litageuka kuwa kijiwe badala YA kuwa industrial hub YA East and Central Africa...

BoRA MJOMBA YEYE KAMSIFU ASIYE KUWEPO
 
Kama nchi hakuna nyanja inaweza kufanya vizuri bila serikali kuwska nguvu. Watu watatoboa randomly tu na sio systematically. Mpaka tunazalisha masters ambao sio competent maana yake mifumo yetu ya elimu ina shida. Kwahiyo shida sio mwenye masters, shida ni mfumo uliompa hiyo masters
 
Nimeona uzinduzi wa logistic hub(ghala la forodha)...Nikawaza Ni mafanikio YA kusherehekea au inabidi tujitafakari kasi yetu YA kugeuza TAIFA letu SOKO Kwa bidhaa ZA nje.

Tukiwa na idadi kubwa YA watu hasa vijana tunahitaji kufikiria kuzalisha ajira na si kuwa SOKO ..
madhara YA SOKO Ni uchafu,makelele na TAIFA litageuka kuwa kijiwe badala YA kuwa industrial hub YA East and Central Africa...

BoRA MJOMBA YEYE KAMSIFU ASIYE KUWEPO
Kuunda simu si KAZI ya kifahari kama unavyofkiria, kama TZ unavyoona walimu ama polisi wanavyodhihakiwa kwa mishahara midogo basi wanaounda simu china walikua level hizo hizo.

Nakumbuka wakati ule Foxconn wanaanza kutengeneza Simu za Apple China walikua wafanyakazi wanalipwa kama Dola 200.

Mpaka sasa hivi Foxconn sidhani kama wanalipa mishahara mikubwa, nafkiri kama laki 7 kwa kiwanda chao Cha India.

So sio KAZI ya kitaalam Sana kama unavyofkiria.

Wanafanya kazi kubwa ni hao watengeneza hizo chip, semiconductor mbalimbali kama Tsmc ya Taiwan, Memory maker mbalimbali kama Samsung, Sky Hynx na Micron, Display maker kina Tcl, Boe, LG, Samsung, Camera maker kama Sony na Samsung etc.

Then watengeneza simu wanavipachika pamoja na kuunda simu.
 
Nachoongelea kimantiki Ni namna mlinganisho wa elimu na si kipato,
Ni Namna gani
Elimu inatukomboaje?kupambana na mazingira yetu
 
Back
Top Bottom