Technlogia gani imetumika leo na Google

Technlogia gani imetumika leo na Google

ThinkPad

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2008
Posts
1,844
Reaction score
235
Wataalam wenzangu wa mambo ya website leo nimeachwa kando kidogo na hii sijui naeza kuiita animation ya kwenye google.

hiyo ni aina ipi ya animation jamani naona ni kitu kipya kwangu naomba wataalam tusaidiane hapo.
 
khaa sio google.co.tz namaanisha google.co.uk
 
GIS1.JPG
attachment.php


attachment.php
attachment.php
 

Attachments

  • GIS2.JPG
    GIS2.JPG
    36.2 KB · Views: 60
  • GIS3.JPG
    GIS3.JPG
    48.5 KB · Views: 61
hii sijui ni aina gani ya animation wenye data mwageni vitu hapa
 
Back
Top Bottom