natumbaku Chambeho
JF-Expert Member
- Aug 27, 2014
- 551
- 209
I don't think we can afford having drones for now. Kumbuka Hizo drones ni highly advanced technological military equipment na Tanzania tumezoea kununua vifaa ambavyo mataifa makubwa wameshatumia wee na kuvichoka Ndipo wanatuuzi kwa bei chee. Vifaa vya kivita tu vya miaka Kati ya 2000-2010 bado hatujaweza kumiliki, je tutaweza kumiliki drones ambazo ndoo habari ya mjini kwenye tasnia za kijeshi kwasasa?

Hahahahahahahahahahahaha! Eti tumejipanga vipi tusiachwe na WENZETU...! Hahahaha you made my day! Hizi ni delusions of grandeur. In terms of military technology unasema USA, China, Iran, Israel ni wenzetu! Hahahahahahaha!Drone ni technoligia ambayo inakuwa kwa kasi ya ajabu na kutumiwa katika masuala ya kijeshi na mataifa makubwa ulimwenguni. Nina ambiwa taifa kama iran nalo linapiga hatua ya kueleweka katika technologia hii.
Tumeona jinsi marekani wanavyo itumia hii technologia kupambana na magaidi kama taliban kule afghanstan na pakistani mpaka hizi drones zikepewa jina la red bee.
Sasa sisi kama taifa tumejipanga vipi tusiachwe na wezetu katika hii technologia ya drones?
It depends on the type and level of sophistication, of course. $12,548,710.60 will get you one MQ-9 Reaper. Roughly $5 million will get you a Predator.Ungetutajia basi bei zake ili tukubaliane nawe kwamba hatuwezi kununua.
Pia drones sio habari ya leo,zipo kitambo sana.
You are right ila kumbuka za kipindi hicho We're not terribly effective Kama hizi za sasa. Embu tu trace back Kwenye matukio ya US drones ya hivi karibuni kuanzia 2012 kule North Waziristan na Northwestern part of Pakistan katikati ya January hadi August 2013. Yalikuwa ni 45 strikes tu lakini effects zake zinakumbukwa hadi sasa, no balaa."The drones are like the angels of death," says Nazeer Gul, a shopkeeper in the Pakistani town of Miramshah. "Only they know when and where they will strike."Drones zipo toka miaka mingi sana. Ongelea miaka ya 60s. Hizi za leo ni maboresho tu.
Movie za Holloywood zinaharibu sana mindset za watu. Drones are useless in a serious battle
Marekani anatumia drones kwa wanamgambo wenye Aks na RPGs lakini sio kwa a serious modern army
Anga inalindwa 24/7 na SAM batteries. Drone hata iwe stealth vipi inaangushwa