natumbaku Chambeho
JF-Expert Member
- Aug 27, 2014
- 551
- 209
Drone ni technoligia ambayo inakuwa kwa kasi ya ajabu na kutumiwa katika masuala ya kijeshi na mataifa makubwa ulimwenguni. Nina ambiwa taifa kama iran nalo linapiga hatua ya kueleweka katika technologia hii.
Tumeona jinsi marekani wanavyo itumia hii technologia kupambana na magaidi kama taliban kule afghanstan na pakistani mpaka hizi drones zikepewa jina la red bee.
Sasa sisi kama taifa tumejipanga vipi tusiachwe na wezetu katika hii technologia ya drones?